HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday 6 June 2016

GoodNews: A.K.A wa South Africa kapata dilila kuperform main Stage ya BET

 


Tuzo za BET ni tuzo kubwa za muziki kutoka Marekani na zenye heshima kubwa duniani, ambapo mwaka huu zitafanyika June 26 2016 Los Angeles Marekani. Kama kawaida wasanii wataperform ila good news ni kutoka kwa rapper A.K.A kutoka South Africa ambaye nae anaingia katika histori ya msanii wa Afrika kupata nafasi ya kuperform kwenye main stage.
AKA
Sambamba na A.K.A wasanii wengine watakaofanya perfomance siku hiyo ni pamoja na Rapper Fat Joe, Lil Wayne ,2chainz, Fetty Wap, Desiigner na wengine wengi. A.K.A atakuwa msanii wa kwanza kutoka Africa kuperform kwenye Main stage ya tuzo za BET ikiwa inaashiria kiasi gani muziki wa Africa unazidi kufanya vizuri duniani

No comments:

Post a Comment