HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 8 June 2016

Ingia hapa kuona Picha,Tattoo mpya ya mtoto ‘Royalty’ kwenye mgongo wa Chris Brown.



Rnb staa Chris Brown amekamilisha tattoo ya mtoto wake wa kike kwenye mgongo wake. Tattoo hii imekamilika June 5 2016 na inaonyesha sura ya mtoto wake wa kwanza Royalty.
Chris Brown amekuwa mtu tofauti baada ya kupata mtoto wake wa kwanza ambaye kwa sasa anamiaka 2 na tayari ameimbiwa album ya Royalty na baba yake.
  chris-brown

No comments:

Post a Comment