HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday 12 June 2016

Jibu la Diamond Platnumz kuhusu Kupandishwa kwa ada za namba binafsi kwenye magari bongo.


Msanii wa Bongo Flava Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz amesema anaunga mkono kitendo cha serikali kutangaza kwamba kwa watu wanaotumia plate number za majina yao watatozwa milioni 10 kama kodi kutoka 5 kuanzia mwaka wa fedha 2016 & 2017.
Kufuatia hotuba ya serikali kuonyesha hivyo kipindi cha EADRIVE kinachorushwa na EA Radio kimeongea na msanii Diamond Platnumz kuhusu mkakati huo ikiwa yeye ni mmoja wa wanaolengwa na jambo hilo.
Diamond anasema ‘’Kama serikali itatumia fedha hizo kusaidia watu wa hali ya chini mimi naona sawa tuu’’

No comments:

Post a Comment