HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 12 June 2016

Nuh Mziwanda kuja na collabo na Tekno


Nuh Mziwanda amesema anakaribia kukamilisha collabo yake na msanii wa Nigeria, Tekno.
Mziwanda-2452524_n
Wimbo wa Jike Shupa ni moja kati ya nyimbo ambazo zinafanya vizuri kwenye redio kutokana na ujumbe uliokuwa ndani yake kumgusa moja kwa moja huku video yake akiwa ameachia jana.
Akiongea kwenye kipindi cha Ala za Roho, kinachoruka kupitia Clouds FM, Nuh Mziwanda alisema, “Tumeshaanza kuongea na Tekno.”
“Jamaa ana uwezo mkubwa, anajua muziki, najisikia faraja kufanya naye kazi. Ni producer mkubwa kama mimi, ni msanii mkubwa mwenye kipaji na tunashabiana maana ni mkali wa melody na wote tunategemea melody,” aliongez

No comments:

Post a Comment