HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 6 June 2016

Picha: Diamond amkabidhi Paul Makonda msaada wa madawati 600



Diamond Platnumz Jumatatu hii amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda msaada wa madawati 600 kwaajili ya shule za Dar.
4K0A8431
Wasanii wote wa WCB wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Diamond aliambatana na wasanii wa label ya WCB pamoja na mameneja wake kukabidhi madawati hao kwenye ofisi ya Makonda jijini Dar.
Madawati hayo yataweza kusaidia wanafunzi 1800. Tazama picha zaidi.
4K0A8373
Wasanii wa WCB walipokuwa wakiwasili kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam
4K0A8447
Diamond Platnumz akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
4K0A8421
4K0A8444
4K0A8511
4K0A8503
4K0A8508
4K0A8400

No comments:

Post a Comment