HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 13 June 2016

Picha,Akiwa kwenye bata zake Neymar kakutana na hawa mastaa wawili.


Entertainment


Barcelona staa Neymar anakula bata wiki hii huko Las Vegas nchini Marekani na amefanikiwa kukutana na mastaa wakubwa kama Serena Williams ambaye ni mchezaji bingwa wa tenis duniani na Dj / Producer kutoka Scottland Calvin Harris.
12 13

No comments:

Post a Comment