HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday 22 June 2016

Picha,Msanii anayepewa tuzo ya heshima mwaka kwenye BET ndio huyu.


Entertainment

Kila mwaka kwenye tuzo tofauti panakuwa na msanii anayekabidhiwa tuzo ya heshima kwa mchango wake kwenye muziki na mwaka huu kwenye tuzo za BET 2016 amechaguliwa Msanii na Mtayarishaji wa muziki mkubwa Akon.
Tuzo anayopewa Akon ni tuzo ya Global Good kwenye Bet Awards mjini Los Angeles, Juni 26 mwaka huu.
Sababu ya Akono kupewa tuzo hii ni pamoja na mchango wake kwenye kuleta maendeleo kwenye bara la Afrika kutokana na mradi wake wa umeme wa jua ‘Akon Lighting Africa’ ulioanza kazi mwaka jana huku akipanga kusaidia zaidi ya watu milioni 600.


akon bet
Tuzo hii peke ilianza kutolewa mwaka jana kwa watu wanaotoa mchango mkubwa wa kuleta maendeleo kwenye bara la Afrika na mtu wa kwanza kupatiwa tuzo hiyo alikuwa ni Miss Tanzania 2001, Millen Magesse.

No comments:

Post a Comment