HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday, 2 June 2016

Rapa M 2 The P kazitaja kazi tatu maarufu zinazofanywa na vijana wakitanzania nchini South Africa

Msanii wa rapa kutoka Tanzania anaye fanya kazi zake za muziki nchini Afrika kusini amezitaja kazi tatu maarufu sana kufanywa na vijana wa kitanzania wanaokwenda Afrika Kusini kutafuta kazi.
Pia M 2 The P anasema vijana wengi kutoka Tanzania wanaoishi Afrika kusini wamekuwa wakipata mashavu ya kazu hizo kutokana na ujanja wao wa kuweza kuishi na watu tofauti na kuongea lugha zao

No comments:

Post a Comment