HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday 3 June 2016

Video: Party iliyofanyika nyumbani kwa Diamond Platnumz ya Kumkaribisha Rich Mavoko



June 2 2016 Ndio siku rasmi ambayo Lebel ya WCB ilimtambulisha Rich Mavoko kama msanii wa lebel hiyo, mtu wangu baada ya utambulisho huo uongozi wa WCB uliamua kufanya party ya Kumkaribisha Rich Mavoko pamoja na mke wa Meneja wa Harmonize (Ricardo Momo) kwenye familia hiyo, party ambayo ilifanyika nyumbani kwa Diamond Platnumz ULIMISS UTAMBULISHO WA RICH MAVOKO RASMI WCB ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI.

No comments:

Post a Comment