HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday, 30 July 2016

Kanye West anazidi kuongeza ubunifu kwenye video zake,hii mpya ‘Wolves’ Ft Vic Mensa Na Sia,Kim K yupo…

Kanye West ameunganisha nguvu na kampuni ya mavazi ya Balmain na kutoa video yake  ya black and white kutoka kwneye album ya The Life of Pablo, video imetayarisha na Steven Klein.
Itazame hapa “Wolves” na ndani yupo Kim Kardashian na wanamitindo wengine kama Alessandra Ambrosio, Francisco Lachowski, Joan Smalls, Cindy Crawford na Kylie

No comments:

Post a Comment