HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday, 30 July 2016

PICHA ; ndege yenye lifti ndani itakayotengenezwa marekani

Kadri sayansi na teknolojia inavyozidi kukua leo July 29 2016 nikakutana na hili ambalo nisingependa likupite mtu wangu, CNN imetaja ndege yenye lifti ndani itakayotengenezwa na kampuni ya Marekani ya windspeed.
Lifti hiyo imewekwa ili abiria waweze kufika kwenye siti pacha zilizotengenezwa juu ya bodi la ndege hiyo ili kuona nje wakiwa angani. Ndege hii itakua ndege ya kwanza kua na lifti ndani na wametaja kuanza na ndege binafsi na baadae kufikia kwenye ndege kubwa. 
Nakusogezea picha na video za ndege hiyo mtu wangu ili na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment yako hapo chini.
ndegege
ndege
ndelele
ndg

No comments:

Post a Comment