HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday 28 July 2016

VIDEO: Binti aliyejifungua akiwa na umri wa miaka 5



 Maajabu  katika pitapita zangu nikakutana na hili ambalo leo July 28 2016 nakusogezea kama throwback , binti Lina Medina ni raia wa nchini Peru aliyetajwa kuwa binti alieshika ujauzito katika umri mdogo kuliko wote duniani akiwa na umri wa miaka 5.
Wazazi wa binti huyu walijua binti yao ana matatizo mengine ya kiafya, katika kufanyiwa utafiti alikutwa ana ujauzito wenye zaidi ya miezi saba na haikuwa kujulikana baba wa ujauzito huo.
Binti  Lina aliishi mpaka miaka 40 alifariki dunia na kuacha mtoto wake wa kiume akiwa na miaka na miaka 35.
download (1)
download (2)

linana
kulia lina akiwa na miaka 40 na mtoto wake kushoto akiwa na umri wa miaka 35

No comments:

Post a Comment