HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 26 July 2016

Video: Chid Benz na Raymond nani mkali wa kufreestyle?


Chid Benz anafahamika zaidi kwa freestyle kali hali iliyopelekea watu kumpa jina la King of freestyle lakini pia watu wengi walikuwa hawafahamu uwezo wa Raymond kwenye kufreestyle lakini kwa sasa wameweza kuutambua kwa kuwa kabla ya kumfahamu akiwa na WCB, msanii huyo alikuwa anarap.
IMG-20160712-WA0045
Wasanii hao walishindana kwa freestyle walipoenda kwenye studio za Clouds FM walipoenda kutambulisha wimbo wa ‘Chuma’ wa Chid Benz aliomshirikisha Raymond. Check video nani zaidi.

No comments:

Post a Comment