HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 27 July 2016

VIDEO: Majibu ya Neymar baada ya waandishi kuhoji maisha yake binafsi



Mshambuliaji wa FC Barcelona na nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kinachojiandaa na michuano ya Olympic Neymar ameingia kwenye headlines baada ya kuulizwa swali na waandishi wa habari linalohusu maisha yake binafsi, Neymar ametoa majibu na kuonekana kama hajafurahishwa na swali hilo.
“Nafikiri unatakiwa uangilie vitu ninavyofanya uwanjani, mimi ni mtu mzima mwenye umri wa miaka 24 na nafahamu ninachokifanya, siwezi nikaacha kwenda nightclub kwa sababu haiathiri kazi yangu, najua majukumu yangu na mimi ni mtu mzima”

No comments:

Post a Comment