HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 14 August 2016

Hii video ya Jah Prayzah Ft Diamond Platnumz ‘Watora Mari’ Itazame hapa.




Msanii kutoka Zimbabwe, Mukudzei Mukombe aka Jah Prayzah ameachia video yake mpya ‘Watora Mari’ aliomshirikisha Diamond.
Rekodi hii ipo kwenye album yake ya ‘Mudhara Vachauya’ na itakuwa sokoni kwenye mitandao ya kuuza muziki kuanzia August 12 2016.

No comments:

Post a Comment