HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 15 August 2016

Picha,Huyu ndio mpenzi mpya wa Justin Bieber mwenye miaka 17.



Kama ulipitwa na taarifa ya Justin Bieber kuw ana mpenzi mpya mwenye miaka 17 anayemuweka mara kwa mara kwenye instagram yake, hii ni picha ya wapenzi hawa wawili.
Mwana dada huyu anaitwa Sofia Richie na ana umri wa miaka 17, Hivi karibuni Justin alipondwa sana instagram kwa kumuweka binti huyu wakila bata.
 0815-justin-bieber-sophia-richie-getty-4

No comments:

Post a Comment