HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 2 August 2016

VIDEO & PICHA : Ndege kubwa itakayotengezwa na kuanza kutumika 2030

Ndege hii itakayo kuwa na uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 800 pia yenye uwezo wa kujitengenezea umeme wake   wakati inapaa angani kwa kuwa na vipande vya solar kwenye mabawa yake, pia ina sehemu tatu tofauti kwa ajili ya kukaa marubani.
Zaidi kwenye ndege hii itakua na ofisi pamoja na vitanda kwajili ya kundi la ndege hiyo pamoja na engine 5, pia itakua haina kelele kwa asilimia 75 na haitatoa hewa chafu kabisa.
35-43
nd
ndee
ndegegege
ndegg
ndelel
ndg
dwnld

No comments:

Post a Comment