HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday 2 October 2016

Video: Diamond abaki na nguo ya ndani ‘boxer’ wakati akisherekea birthday yake


diamond

Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Diamond Platnumz ikiwa ni wiki moja toka atoke visiwani Zanzibar kusherekea birthday ya mama watoto wake, Zari.






Muimbaji huyo alikata keki mbele ya wasanii wake wa WCB huku akiwaacha midomo wazi mashabiki wake wa kwenye mitandao jamii kwa kitendo cha kusherekea birthday hiyo huku akiwa na nguo ya ndani ‘boxer’ akidai alikuwa anaogopa kumwagiwa maji. Pia mastaa mbalimbali walimtumia salamu za heri na baraka staa huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’. Rich Mavoko Happy Birthday Big Nna Zawadi Yako Ya Gari Lakini La Udongo πŸ˜‚πŸ˜‚ So Wambie Hao Wanaokumwagia Maji Nikilileta Waache Kwanza Harmonize Happy birthday my brother #simbaa nikisema niandike mengi sitomaliza ila unajuwa vyenye nakuzimia na na kukuheshimu….πŸ™πŸ™πŸ™ maisha marefu furahiya siku yako πŸŽ‚πŸ”₯πŸ”₯ Rayvanny Jus me and birthday boy @diamondplatnumz Bigie Mungu Akupe Maisha Marefu ndugu yangu maana ukinasa hatunasuliki mwiiiiiiiiingiiiiiiiii wa materials enjoy your day

No comments:

Post a Comment