HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 13 November 2016

Kifaa kinachodaiwa kutoka kwenye setellite ya China chaanguka


Kifaa kinachodaiwa kuwa kutoka kwenye satellite ya China kilichokuwa angani na sehemu ya injini ya nje au kombora kimeanguka katika eneo la migodi kaskazini mwa mji wa Myanmar, Burma.
cw8-j-5viaekhpv
Kifaa hicho chenye urefu wa mita 4.5 na upana wa 1.2 kimeanguka Ijumaa hii na kutoboa paa la nyumba iliyopo karibu na eneo hilo.
Maafisa kutoka idara moja ya ulinzi na usalama iliyopo mjini hapo wanasema kuwa kifaa hicho kilitembea umbali wa mita 50 kilipoanguka kabla ya kutua eneo moja lenye matope.
“Initially, we thought it was a battle. The explosion made our houses shake. We saw the smoke from our village,” amesema mmoja wa wakazi wa eneo hilo.

No comments:

Post a Comment