HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 5 December 2016

VideoMPYA: Vanessa Mdee ametuletea hii inaitwa ‘Cash Madame’

Muimbaji wa Bongofleva Vanessa Mdee leo Jumatatu ya December 5 2016 ameamka na good news kwa mashabiki wake, Vanessa ameamua kuiachia video yake mpya inaitwa ‘Cash Madame’ director ni Justin Campos, enjoy dakika 3 za video yenyewe mtu wangu.

No comments:

Post a Comment