HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 10 May 2016

PICHA 10: Muonekano wa vituo vya mabasi ya haraka Posta Dar es salaam wakati wa usiku


Wakazi wa Dar es salaam wataanza kupanda Mabasi mapya yaendayo haraka huku yakipita kwenye barabara maalum ambapo nauli za Mabasi tayari zimeshatangazwa, tayari vituo vya Mabasi haya vimeanza kuwashwa taa usik

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Kituo cha abiria cha mabasi yaendayo haraka kilichopo Posta Dar es Salaam
.
Kituo kipya cha abiria cha mabasi yaendayo haraka kilichopo Posta na garden kwa ndani.
.
Posta Dar es salaam
.
.
.

Kama unapazimia Paris check hii ya Tecno wanaweza kukupeleka


Paris ni mji maarufu duniani ukiwa na vivutio mbalimbali na umeshika nafasi ya pili  kati ya miji inayovutia zaidi Duniani, good news ni kwamba time hii Tecno Mobile wametoa nafasi kwa watumiaji wa Boom J8 kutembelea mji huu.  
Kwa kupitia Boom J8 unaweza kushiriki katika shindano la #BoomJ8ParisTz kwa kushare wimbo unaoupenda zaidi kutoka katika Boom Player kwenda katika ukurasa wako wa Facebook, ukishafanya hivyo kilichobaki ni kuwataarifu washikaji waweze kulike. 
kila siku mtu mmoja anajishindia Boom J8 mpya kwa kushare wimbo aupendao kutoka Boom Player, lakini pia kuna zawadi nyingine kibao, kama unataka kwenda Paris itakapofika tarehe 23 Mei, Basi bonyeza http://goo.gl/m4jZz8 kushiriki katika shindano.

Thursday-2

Wema Sepetu na mabusu ya ukweli kwenye filamu hii mpya



Ukiwa muigizaji kubali yote. Kuna scenes ambazo zitakuhitaji upigane busu na mtu anayecheza kama mpenzi wako na ili kupata uhalisia wa tukio huna budi kubadilishana mate kwenye screen.
13188038_439200079621629_221010926_n
Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram, anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni wapenzi.
Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.

Picha: Hatimaye mabasi yaendayo kasi yaanza safari zake Dar Jumanne hii

Hatimaye mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam yameanza safari zake rasmi leo, Mei 10 kwa kuwasafirisha wananchi bure siku mbili mfululizo ambapo mpaka Mei 12 ndiyo wataanza kulipia huduma hiyo ya usafiri.
IMG_5456
Mabasi hayo yameanza safari zake kwa barabara mbili kubwa, kuanzia Morocco mpaka Kivukoni na kutoka Mbezi Mwisho mpaka Kivukoni. Wananchi wengi wameonekana kufurahishwa na mabasi hayo ambayo yameonekana kurahisisha usafiri kwa kutoka muda mwingi vituoni lakini wengi wameonekana bado wakiendelea kulalamikia nauli kuwa kubwa pindi watakapoanza kulipia huduma hiyo itakuwa ni shida kwao.
Aidha mabasi hayo yameonekana kujaza muda wote wa safari huku abiria wengi wameonekana wakizunguka na mabasi hayo pasipo kushuka na kuwaacha wale wanaosafiri kweli kupata shida kwenye vituo hivyo.
IMG_5457
Hata hivyo mabasi hayo yatakuwa na mifumo miwili ya ulipiaji wa nauli, mfumo wa kwanza ukiwa ni kulipia kwa tiketi kununua kwenye vituo vya kupandia mabasi hayo na mwingine ukiwa ni wa kulipia kwa kutumia kadi.
“Mfumo wa kadi ndiyo mfumo sahihi wa mabasi haya ila huu wa tiketi tumeuweka kwa dharura ili kuwasaidia wananchi lakini baada ya muda utaondolewa. Kuanzia kesho kadi zitaanza kuuzwa kwa shilingi 4500, lakini ndani yake kutakuwa na bonasi ya shilingi elfu mbili,” alisema mmoja wa viongozi wa kwenye vituo hivyo.
IMG_5655
Aliongeza kuwa, “hiyo kadi ukinunua unatakiwa uanze kuiwekea hela na ukifika kwenye kituo unaingiza kadi kwenye mashine itakuruhusu uingie.”
Nauli za mabasi hayo itakuwa kama ifuatavyo; Mbezi Mwisho mpaka Morocco itakuwa ni shilingi 800, Mbezi Mwisho mpaka Kariakoo ni shilingi 800, Morocco mpaka Kivukoni ni shilingi 650, Kariakoo mpaka Morocco ni shilingi 650, Mbezi Mwisho mpaka Kivukoni ni shilingi 800 na nauli ya wanafunzi ni shilingi 200.
Tazama picha zaidi hapo chini.
IMG_5458
IMG_5463
IMG_5464
IMG_5470
IMG_5477
IMG_5495
IMG_5496
IMG_5509
IMG_5516
IMG_5524
IMG_5526
IMG_5534


IMG_5542
IMG_5554
IMG_5555
IMG_5556
IMG_5564

IMG_5600
IMG_5612
IMG_5632

Sunday, 8 May 2016

Itazame List 10 ya gari za thamani kubwa wanazomiliki Mastaa wa Rap Duniani



 Kama ni mpenzi wakuafuatilia maisha ya mastaa wa Rap Duniani na vitu wanavyomiliki, basi hii isikupite, May 08 2016 nimekuwekea list ya mastaa wa Rap wanaopush ndinga kali na za thamani kubwa Duniani

10. Maybach 57 ($417,402)

rickross1
Rick Ross

9. Spyker C8 Aileron ($500,000)

Akon-Spyker-C8
Akon

8. Lamborghini Murcielago ($510,000)

2445de63e4ae0087e624c20606df530a
50 Cent

7. Rolls Royce Phantom Drophead ($533,000)

p didy
P. Diddy

6. Lamborghini Aventador ($750,000)

Kanye-West-spotted-with-his-matte-black-Lamborghini-Aventador-04-401401039
Kanye West

5. Maybach 62 Landaulet ($1.4 million)

Birdmans-Maybach-Landaulet
Birdman

4. Bugatti Veyron ($1.5 million)

dpjoanknzkjrwe2laklc
Drake

3. Pagani Zonda Roadster ($1.9 million)

Jay-Z-videoclip2

Jay-Z

2. Lamborghini Veneno ($4 million)

lambo

1. Maybach Exelero ($8 million)

jayz_excelero_maybach
Jay Z

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni zamu ya kuiona hii mpya ya msanii wa Ommy Dimpoz

TV zinazidi kupokea video mpya za muziki wa bongofleva ambapo leo May 8 2016 iliyoachiwa ni hii ya msanii kutoka lebo ya PKP ya Ommy Dimpoz aitwae Nedy na single yenyewe inaitwa ‘usiende mbali’ na ukishaitazama sio mbaya ukatuachia na comment yako mtu wa nguvu ili wenyewe wakipita wajue mashabiki zao wameipokeaje.

Duniani VIDEO: Top 10 ya sherehe za gharama zaidi zilizowahi kufanyika, moja ni harusi ya Staa wa Man United