HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 23 May 2016

Entertainment Picha,RNB staa Neyo kapigilia kofia ya Tiptop.

TipTop Connection imekuja kitofauti zaidi baad aya kutoa t shirt na kofia zao ambazo zimetokea kupendwa na mastaa kibao wa bongo.
Hizi ni picha za staa wa rnb Neyo kutoka Marekani akiwa amevalia kofia hio.
neyo 1 neyo 2 neyo 3

Harmonize asema Jackline Wolper alikuwa Single,pete ya uchumba je

Wcb staa Harmonize amesema alimkuta mpenzi wake Jackline Wolper akiwa single, ndiyo maana wakaweza kuanzisha mahusiano.
Harmonize amesema hayo kupitia kipindi cha Enews ambapo alikuwa anaelezea mambo mbalimbali kuhusu maisha yake mapya katika mahusiano na Wolper ambaye yeye mwenyewe amekiri kuwa ni mtu aliyeanzisha naye mahusiano hivi karibuni na kusema tuwe na subira kila kitu kitakuja kuwekwa wazi siku za usoni.
“Unajua mpaka saizi sijamvisha mtu pete ya uchumba wala mimi sijawahi kuvishwa pete ya uchumba ila niseme tu ni kweli nipo kwenye mahusiano na Wolper ambaye ni maarufu kama mimi na wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi” alisema Harmonize

Hii Video mpya ya Wiz Khalifa ‘So Much’ itazame hapa.

Wiz Khalifa katoa video mpya ya wimbo wake wa “So Much.” ikiwa ni nyimbo itakayo kuwepo kwenye album ya pamoja na rapa Juicy J  ‘TGOD Mafia Presents: Rude Awakening’ na kwamba inatoka  June 3.

Louis van Gaal afutwa kazi Manchester United

Kocha wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal hatimaye baada ya tetesi kuwa nyingi sasa rasmi amefutwa kazi kama kocha wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala pake.
348444DA00000578-0-image-a-1_1463997324382
Raia huyo wa Uholanzi anaondoka baada ya kukamilisha miaka miwili ya kandarasi yake kati ya mitatu.Kitengo cha habari za michezo cha BBC Sport kiliripoti siku ya Jumamosi kwamba ushindi wa United wa kombe la FA dhidi ya Crystal palace utakuwa mechi yake ya mwisho akiwa mkufunzi.Uteuzi wa Mourinho unatarajiwa kuthibitishwa baada ya raia huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 53 kukutana na maafisa wakuu wa United siku ya Jumanne.

Video: Ne-Yo na Diamond wawaonjesha mashabiki uhondo wa kazi yao mpya

Tamasha la Jembeka Festival 2016 lililofanyika Jumamosi hii mkoni Mwanza lilijaa surprise kwani msanii kutoka Marekani, Ne-Yo na Diamond waliwaonjesha mashabiki wao kolabo yao ambayo inarajia kutoka hivi karibuni.


wp-1463937087328.jpeg
Diamond na Ne-Yo
Kabla ya Ne-Yo kumpandisha Diamond jukwanii, alianza kumsifia hali ambayo iliyonyesha ni jinsi gani anamkubali msanii huyo.
Ne-Yo na Diamond
Diamond na Ne-Yo akiwa stejini
Haikuwa rahisi kuchukua video wala picha za show yake kutokana na uongozi wa Ne-Yo kukataza na kuweka ulinzi mkali kwa yeyote atayeonekana ameinua kamera juu.
Hata hivyo mashabiki ambao walikaa mbali na jukwaa waliweza kurekodi show hiyo kwa simu na kuanza kuzisambaza katika mitandao ya kijamii.

Picha: Adele afunika tuzo za Billboard

winners-main
Mastaa waliohudhuriw=a ni pamoja na Rihanna, Britney Spears, Wiz Khalifa, Lady Gaga, Celine Dion, Priyanka Chopra na wengine wengi.
Pia kwenye tuzo hizo msanii kutoka Uingereza, Adele alifanikiwa kuchukuwa tuzo ya Top Artist akiwazidi Drake, Justin Bieber, Taylor Swift na The Weeknd, lakini pia ameweza kuchukuwa tuzo tano huku msanii The Weeknd akiongoza kwenye tuzo hizo kwa kuchukuwa tuzo nane. Wasanii wengine waliofanikiwa kuchukuwa tuzo hizo ni pamoja na Wiz Khalifa, Mick Mell, T-Mobile Arena, Taylor Swift, Justin Bieber, One Direction, Thomas Rhett, Rihanna na wengine.

34827CD400000578-3595583-Retro_chic_Rihann_s_dress_was_vintage_Thierry_Mugler_and_she_wor-m-481_1463965452431
3482642F00000578-3595583-image-a-298_1463961227671
Mila Kunis akiwa na Kristen Bell and Kathryn Hahn
Britney
Celine
Celine Dion akiwa Charles Angelil
34823E7F00000578-3595583-image-m-200_1463959472601
Aliyewahi kuwa Miss dunia mwaka 2000, Priyanka Chopra
3482767E00000578-3595583-image-a-445_1463964239703
3482729800000578-3595583-image-m-337_1463961944624
348202F900000578-3595583-The_beauty_who_is_engaged_to_NFL_star_Russell_Wilson_was_joined_-a-141_1463958358997
Ciara akiwa na mchumba wake Russell Wilson

Jiunge na Bongo5.com sasa

Diamond anyesha mvua ya hela kwenye birthday ya mtoto wa Aunty Ezekiel (Video)

Aunty Ezekiel alitamani angeenda na mwavuli kujikinga na mvua ya hela iliyomnyeshea juzi kwenye birthday ya kutimiza mwaka mmoja ya mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo. Ni Diamond ndiye aliyesababisha mafuriko ya noti yaliyomfanya muigizaji huyo apagawe! Check video hiyo ujionee mwenyewe.

Sunday, 22 May 2016

Video,Show Ya Ali Kiba Kwenye ‘Naamka Tena Concert’ Ya Lady Jay Dee,shangwe la Wema sasa.. By Fahamu TV | May 22, 2016

Hii ni Video fupi ya Show Ya Ali Kiba Kwenye ‘Naamka Tena Concert’ Ya Lady Jay Dee,kwenye video anaonekana akiimba Aje, kawataja Lulu na Wema Sepetu, shangwe la Wema alivyotajwa,
Bonyeza Play kuitazama Show.

Hili ndiyo jibu la Nay wa Mitego kwa wabaya wake

Nay Wamitego amewajibu watu wanaomchukulia poa.
13166850_1723454604559448_475247523_n

Picha mpya za Ciara na mchumba wake Russell Wilson,AMAZING.


Ciara anaonekana kutojali kabisa hata baada ya mapaparazi kumuandama ajibu maswali kuhusu kushindwa kesi na Ex wake rapa Future na kuwa na muda sawa wa malezi ya mtoto wao Future, CICI anaonekana na mchumba wake Russell Wilson kwenye kiwanja cha ngege cha LAX wakielekea Las Vegas.
12 13