Friday, 2 September 2016
New Video: Dela na H_art The Band – Adabu
Kazi mpya ya msanii wa Kenya, Dela akiwa na Hart The Band
‘Adabu.’ Wimbo umetayarishwa na Cedo huku video ikiongozwa na Stanz
Visuals
Video: Beka ibrozama – Mwanza
Msanii Beka ibrozama ameacha video mpya ya wimbo unaitwa “Mwanza”, Video imeongozwa na kampuni ya Fomular Picture.
Msanii wa Nigeria Kiss Daniel adai ameanza kumjua Harmonize kabla ya Diamond.
Tanzania amedai kuwa alianza kumsikia na kumjua Harmonize kabla ya Diamond.
Kiss alifunguka hayo kwenye mahojiano yake baada ya kuulizwa wasanii gani a
naowapenda
ndani ya Bongo na kuwataja wawili hao na kudai kuwa alianza kusikia nyimbo za
Harmonize kabla ya kusikia nyimbo za boss wa msanii huyo ambaye ni Diamond Platnumz.
“I love Harmonize,I love Diamond,basically Diamond and Harmonize i love them
both,they are really doing good.Actually i heard Harmonize before I heard Diamond
,then i heard that Diamond is his boss” alifunguka Kiss Daniel
Mrembo anayedai kutishiwa bunduki na Chris Brown ana historia ya udokozi!
Baylee Curran, 25, alishtumiwa kumuibia rafiki yake, Rachel Getachew, 29, begi lake la Louis Vuitton likiwa na wallet ya Michael Kors ya $1,000 pamoja na fedha taslimu $200. Tukio hilo lilitokea mwaka 2013.
Jumanne, Curran alimshutumu Chris Brown kumtishia bunduki nyumbani kwake. Brown alikamatwa baada ya polisi kuizunguka nyumba yake kwa madai ya kutishia kwa silaha nzito.
Yupo nje kwa dhamana ya $250,000.
Diamond Platnumz ametaja biashara nyingine anayotaka kuifanya,Ifahamu hapa..
katika moja ya mahojiano yake,Diamond amesema ana mpango wa kufungua mtandao wake unaoitwa Afro Box ambapo watu wanaweza kungalia video exclusive kabla hazijatoka kwa gharama chache.
“Kuna kitu kinaitwa Afro Box,kinahusisha maswala ya content za video,mbali na YouTube kutakuwa na platform nyingine kutoka Tanzania ambapo kabla video haijatoka watu wanapewa access ya kuiona kwa gharama chache,si unajua wengine wanapenda exclusive,pia tuko kwenye hatua za mwisho za kutengeneza headphones,maana nilishatangaza nitatoa headphone zangu” alifunguka Diamond
Video fupi Diamond akifanya video na Neyo Marekani
Hii collabo imefanyika Nairobi Kenya wakati Neyo alikuwa kwenye Coke Studio Afrika na Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani.
Kipisi cha behind the scene kilichovuja wakati Diamond na Neyo wakiifanya hiyo video unaweza kukitazama kwenye hii video hapa chini…. Video: Diamond akutana na mchekeshaji wa US, Kevin Hart Diamond Platnumz ameianza vyema safari ya kutafuta tobo Marekani. Staa huyo ambaye yupo jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. Amekutana na mchekeshaji na muigizaji wa filamu, Kevin Hart. Amepost kipande cha video Instagram akiwa na muigizaji huyo wa Central Intelligence anayesikika akiwasalimia followers wa Diamond.
Wednesday, 31 August 2016
Music: Iyanya Ft. Victoria Kimani – Yoga
Here’s is another certified banger that just made its way online titled “Yoga” by one of Nigeria’s music sensation, Iyanya featuring Chocolate City’s music diva, Victoria Kimani.
Subscribe to:
Posts (Atom)