Wamefunguka exclusively kwa Bongo5 kuhusu uhusiano wao:
“Yeah ni kweli mimi na Naj tuna uhusino na hadi kwetu
nimeshamtambulisha na yeye kwao najulikana na pia nimemvisha pia pete,
sio ya uchumba ila ni Promise Ring,” amesema Barakah
.
“Ndio hivyo yaani kuna kazi pia ambazo tumefanya ila hazitatoka sasa
hivi hadi kwanza kila mtu atoe single yake halafu ndio itakuja hiyo
ngoma ya pamoja mimi na Naj,” ameongeza
No comments:
Post a Comment