HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 18 April 2016

John Legend na mpenzi wake Chrissy Teigen wapata mtoto wa kike.

chrissy-teigen-john-legend

Mwimbaji John Legend na mpenzi wake Chrissy Teigen wamepata mtoto wao wa kwanza na kumwita Luna Simone Stephens mnamo alhamisi ya April 14 2015.
John na mpenzi wake walitangaza taarifa hizi jumapili hii kuwa wamepata mtot wa kike na Mama na mtoto wako salama.


No comments:

Post a Comment