HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 18 April 2016

Picha,Mastaa wa Empire Trai Byers na Grace Gealey wafunga ndoa bila kualika muigizaji yoyote wa Empire

empire


Hizi ni picha za harusi ya mastaa wa Empire Trai Byers na Grace Gealey iliyofanyika kwneye jumba la kifahari huko kisiwani Grand Cayman na harusi ilifungwa na mchingaji Pastor Alson Ebanks kutoka visiwani huko.
TMZ wameripoti kuwa hakuwa staa wa Empire aliyealikuwa kuwenye harusi hio
2016-04-13-17-52-480w

No comments:

Post a Comment