HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 18 April 2016

Alichofanya Drake kwa Meek Mill,sasa Meek kakifanya kwa Nicki Minaj.

Kama unakumbuka vizuri Meek Mill alitoa lawama nyingi sana baada ya Drake kushindwa kuandika chochote twitter au instagram kuhusu album yake, kitu ambacho kilipelekea beef kubwa kati yao.
Hivi karibuni Nicki Minaj kaigiza kwenye filamu kubwa ya Barber Shop 3 na mpaka sasa hakuna post yoyote ya Meek Mill kuhusu kumuunga mkono mpenzi wake Nicki kwenye filamu hio ambayo Nicki ameigiza sehemu kubwa.
Je mambo yao bado yako powa ?meek-mill-nicki

No comments:

Post a Comment