HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 13 April 2016

Majibu ya Diamond… kwanini aliibeba familia na kwenda nayo Ulaya, bongofleva ilipofikia


 

 Diamond Platinum alionekana kwenye safari zilizofikia tisa kwa kutembelea nchi mbalimbali za Ulaya na kufanya show ambapo kwenye hii Exclusive anaeleza kwanini alisafiri na familia yake akiwemo Mama yake na Mama watoto wake pamoja na mtoto wake.
Amesema >>>Hii ni mara ya kwanza nasafiri na Familia, nimefanya hivi sababu miaka inaenda na mama yangu tangia niwe maarufu hajawahi kwenda Ulaya alikua anaisikia tu kwenye bomba, niliona kesho na keshokutwa nisije kudondoka nikafa alafu mama yangu akabaki akawa anaisikia tu






mesema >>>Hii ni mara ya kwanza nasafiri na Familia, nimefanya hivi sababu miaka inaenda na mama yangu tangia niwe maarufu hajawahi kwenda Ulaya alikua anaisikia tu kwenye bomba, niliona kesho na keshokutwa nisije kudondoka nikafa alafu mama yangu akabaki akawa anaisikia tu
Kufahamu mengine zaidi aliyosema Diamond tazama hii video hapa chini





No comments:

Post a Comment