HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday 22 April 2016

Picha: Ben Pol awa baba kimya kimya!

en Pol ni mpenzi wa ngoma ya marehemu Ngwair na Jay Moe ‘Kimya Kimya.Ben
Ni kwasababu tumebaini kuwa mfalme huyo wa R&B kama anavyojiita ni baba wa mtoto wa kiume mwenye miezi kadhaa sasa!
Muimbaji huyo wa ‘Ningefanyaje’ amepiga kimya lakini sio rahisi kwa mama aliyejifungua kuificha furaha ya kupata mtoto. Mchumba wa Ben Pol, Latifa Mohamed aka Queen Tipha aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania 2013 ametusogeza karibu na mtoto wao. Tazama picha za Tipha na mwanae
12960147_1138644399499710_1329504433_n

No comments:

Post a Comment