Friday, 22 April 2016
Team Zari wanamshambulia mrembo huyu, wanadai amechepuka na Diamond
Mashabiki wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB, Raymond kwasababu wamesikia tetesi kuwa amechepuka na Diamond Platnumz.
Tetesi hizi ni kubwa kiasi ambacho watu walio karibu na mastaa hao wamedai kuwa zimeitikisa ikulu ya Chibu. Wanadai kuwa Zari amekerwa na tetesi hizo na kwamba uhusiano wao umepata dosari.
Wiki hii tetesi hizo zimevuma zaidi kiasi ambacho mashabiki wa Zari wamekuwa wakimmiminia matusi Lynn kwenye akaunti yake ya Instagram.
Inafurahisha kwasababu Lynn haoneshi kutikiswa na matusi hayo huku pia akipewa support kubwa kutoka kwa mashabiki ambao hawampendi Zari. Of Course Team Wema yote inaonesha kuwa nyuma yake!
Cha kuvutia zaidi ni kuwa Lynn ni msichana mdogo na mrembo sana kiasi ambacho wasiompenda Zari wanasema anafaa zaidi kuwa kifaa cha Bin Mondi. Kwa wengi hizi bado ni tetesi tu lakini kama ukiangalia post za nyuma za Lynn, utagundua kuwa alikuwa shabiki mkubwa wa Daimond kwakuwa amekuwa akiweka picha zake [Diamond] mara kwa mara
Lynn ana kila sababu ya kuwa na wasiwasi sababu kuna mashabiki wanaoenda mbali zaidi kwa vitisho vyao.
“We see these stories going around & we are watching you. Ntakutoa meno. Utak*zwa kwa mk**u since you look like a hor*y bitch jumping on people’s husbands… you have been warned,” ameandika shabiki mmoja.
“Watch your steps. We already have a bajaji which followed you to your house. You like f**ing other people’s men? You will get whats coming to you. Stay away from mama tiffahs man. Ut**wa mal**a ww. Rudi kumpost tena,” ameongeza.
Lynn ana watetezi wengi pia.
“Aisee hata ningekua mimi bwanangu niskie ana mwanamke mzuri kunishinda lazma nitahangaika!! Khaaa si kwa uzuri huu Lynn,” ameandika shabiki mmoja.
“@zarithebosslady rudi kwenu BANANGE kule kijijini ulivoendaga kuroga siku ile basiii!! Ku****yo M***ya la mwaka 79 yani usitake nianze kukupa michambo,sawa? Eti omulunji,ushapewa kiki za kutosha k*** wewe ulikutwa na followers elfu moja sasa hivi una followers milion inaenda milion 2..haya fanya yako bibi la kupenda kiki mpaka linasahau kuwaangalia wanae!! Fanya mitende ile,halafu hukuchomaga kinga ya matende wewe ulivozaliwa eeeh?? Au enzi hizo uganda kinga zilikua bado hazijaingia?”
Hatari tupu! Acha tuone movie hii itaishia wapi! Mfahamu zaidi Lynn kwa picha zake hizo chini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment