HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 20 April 2016

#UPDATE: Mwili uliozama na gari baharini ulivyopatikana Dar es salaam


April 20 2016 imeripotiwa habari ya kuzama kwa gari lililokuwa ndani ya Pantoni lililokuwa linavuka kuelelekea Kigamboni jijini Dar es salaam, gari hilo liliserereka kutoka kwenye Pantoni na kuzama baharini ambapo inasadikiwa ilikuwa na watu kati ya wawili au watatu.
Mnamo majira ya asubuhi Jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja, mchana wa leo umepatikana mwili mwingine wa Nice Karagwe ambapo nimefanikiwa kuzinasa hizi picha.


IMG-20160420-WA0028 

No comments:

Post a Comment