HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday, 14 April 2016

VideoMPYA: Rayvanny anatualika kuitazama video yake mpya ‘Kwetu’



Rayvanny ni msanii mwingine kutoka WCB lebo iliyoanzishwa na Diamond Platnumz ambapo baada ya single yake ‘kwetu’ kulia sana kwenye Radio, ni zamu ya kuiona video yake ambayo imefanywa na director Godfather, ukishaitazama usiache kumuandikia comment hapa chini ili akipita baadae ajue mashabiki zake wanasemaje.



No comments:

Post a Comment