HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday, 14 April 2016

VideoMPYA: Maua Sama katuletea video ya hit single ‘mahaba niuwe’

Maua Sama ni miongoni mwa warembo wanaofanya vizuri bongoflevani Tanzania na hivi karibuni amekua kwenye Top10 ya Radio na single yake ya ‘mahaba niue‘ambayo hakuwa ameifanyia video, leo April 9 2016 ndio tunaiona kutoka kwenye mikono ya Director ‘Adam Juma‘ ukishaitazama hii video tuachie comment yako ili Maua akipita ajue watu wake wameipokeaje mtu wangu


No comments:

Post a Comment