HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 31 May 2016

Lionel Messi na baba yake wamefikishwa tena Mahakamani leo May 31 2016

Mchezaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi na baba yake mzazi Jorge Messi wanatuhumiwa kwa kosa la ukwepaji kodi na leo May 31 2016 inaripotiwa kesi yao kuanza kusikilizwa katika jiji la Barcelona Hispania.
Messi ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara tano, anajiandaa na michuano ya Copa America itakayofanyika mwaka huu USA, lakini kesi inayomkabili ya ukwepaji kodi wa Pound milioni 3.2 ambazo ni zaidi ya bilioni 10 za kitanzania imeanza kusikilizwa.
34CA3C8E00000578-0-image-a-5_1464697218179
Mwanasheria wa Messi na baba yake akizungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya staa huyo na baba yake.
Kiasi cha kodi wanachodaiwa Messi na baba yake, walikwepa kulipa kodi hiyo kati ya mwaka 2007 na 2009 wakati mauzo ya picha za staa huyo wa FC Barcelona, ofisi ya waendesha mashtaka wamependekeza Lionel Messi na baba yake wahukumiwe miezi 22 jela.


No comments:

Post a Comment