HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 31 May 2016

Sababu za Diamond Platnumz kutokuwa na dream ya kuwa chini ya record label yoyote


Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo May 31 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Diamond Platnumz kutokuwa na mpango wa kuwa chini ya lebel yoyote.


‘Dili nililopata hajawahi kupata msanii yeyote tangu muziki wa bongo fleva umeanza‘:-Diamond Platnumz
Stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo May 31 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Diamond Platnumz kutokuwa na mpango wa kuwa chini ya lebel yoyote. ‘Dili nililopata hajawahi kupata msanii yeyote tangu muziki wa bongo fleva umeanza‘:-Diamond Platnumz ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE KUONGEA KUHUSU BEEF NA SHILOLE? UNAWEZAA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment