HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 31 May 2016

Picha,Wolper katambulishwa kwa wazazi wa Harmonize,sio kiki hili….



Inaonyesha kuwa makini na serious zaidi pale unapo mtambulisha mpenzi wako kwa wazazi wako kama alivyofanya bongo fleva staa Harmonize.
Wikiendi iliyopita wcb staa Harmonize alimpeleka mpenzi wake Jacqueline Wolper kwao Mtwara alikoenda kutumbuiza kwa mara ya kwanza tangu atoke na kupata umaarufu mkubwa kwenye game ya bongo fleva.
Harmonize aliandika hivi instagram “Time Ya Kumsaidia mama Harmo Kuanda Chakula Cha Usiku Mtwara Life @wolperstylish,”
Naye Wolper aliwka picha akiwa na mama mkwe wake ‘Mama Harmonize’ na kuweka ujumbe huu “I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu… Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe… Mjipikilishe.. Akushauri Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu.”
Kweli sio KIKI TENA AU…….
harmo 1 harmo 2

No comments:

Post a Comment