
Muimbaji huyo amewataka maandaaji wa matamasha kuandaa show zao kwenye kumbi kubwa kwa kuwa muziki wa Watanzania umekuwa.
Kupiti facebook Diamoand alipost picha na kuandika:
Hii likuwa show yetu ya Juzi 28th May Dallas Texas… Ila ilibidi show hii isitishwe njiani kwakuwa watu walijaa sana kupelekea wengine kukosa tiket na Kubaki milangoni, na hata walio kuwa ndani kukosa nafasi na Mbanano uliopelekea vurugu na Kushindwa kuendelea na Performance…. Hakika muziki wetu umekuwa sasa ndugu zangu waandaaji nafikiri mtuongeze kumbi kubwa zaidi watu waweze kuburudika vya kutosha!
No comments:
Post a Comment