Jumatatu hii Naibu Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk Tulia Ackson amelazimika kusitisha shughuli za bunge hilo
kabla ya muda baada ya wabunge kugoma wakitaka wajadili suala la
wanafunzi walioondolewa kwenye chuo kikuu cha Dodoma, UDOM.
Wanafunzi hao takriban 700 walitakuwa wawe wameondoka chuoni hapo hadi Jumapili ya jana.
No comments:
Post a Comment