HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday 30 May 2016

VIDEO: Waziri Ndalichako katolea ufafanuzi kufukuzwa kwa wanafunzi wa UDOM


 
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafukuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa. Waziri Joyce Ndalichako amesimama Bungeni leo kuongelea suala hilo.


No comments:

Post a Comment