HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 30 May 2016

Waliofukuzwa Chuo Kikuu cha Dodoma waigeukia hii kazi




Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya 
Moja ya story kubwa may 30 2016 kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘Waliofukuzwa UDOM wageukia udadapoa’, Gazeti hilo limeripoti kuwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliofukuzwa na uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma  ‘UDOM’ wanadaiwa kugeukia biashara ya uchangudoa mjini Dodoma ili kupata fedha za kujikimu na nauli za kuwarudisha kwao .
Gazeti hilo limeripoti kuwa Juzi kupitia kwa Mkuu wa Chuo cha Dodoma, Prof Idrisa Kikula kilitangaza kuwasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 7000 wa kozi ya Stashahada ya ualimu ambao hawakuwa na sifa za kusoma masomo hayo. 
Gazeti limedai kuwa juzi jioni eneo maarufu la CDA club lilikuwa na idadi kubwa ya kina dada wanojiuza wengi wao wakiwa ni wanafunzi ambao hawakuwa tayari kutaja majina yao.

No comments:

Post a Comment