HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday 2 June 2016

Alikiba katangaza utaratibu atakaotumia kuanza kufollow mashabiki wake

Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo June 1 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya utaratibu ambao Alikiba kaandaa kwa ajili ya kuanza kuwafollow followers wake.
“Nipo na utaratibu wa kuanza kuwafollow followers wangu kwa ajili tu ya kushow love na kila siku itakuwa na utaratibu wake kwa wiki labda nakuwa na mfollow mtu mmoja halafu namtoa angalau watu waone kama kuna mtu fulani nilimfollow ila lazima awe shabikiwa Alikiba”

No comments:

Post a Comment