HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday 2 June 2016

VIDEO: Mambo mengine manne ya Mbunge wa ‘sanamu ya Diamond’ bungeni


Baada ya May 31 2016 Wizara ya mambo ya mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi ya kiasi cha shilingi 151,396,775,000.00 kwa mwaka wa fedha 2016/2017 kupitia kwa Waziri wake Augustine Mahiga.
Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia bajeti hiyo, mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga pia alikuwa mmoja wapo ambapo yeye alikuwa na mambo yake makubwa manne aliyotaka Wizara ihakikishe imeyashughulikia ikiwemo suala la watanzania wanaofungwa nchini China.


No comments:

Post a Comment