HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday, 2 June 2016

May 31 2016 wizara ya  mambo ya mje na ushirikiano wa Afrika Mashariki iliwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 na Wabunge wakaanza kutoa michango yao.
Mbunge wa Mchinga Hamidu Bobani alisimama kuhoji ahadi ya Rais Magufuli aliyoitoa jimboni kwake kuhusu kumrudisha mjusi mkubwa wa kihistoria aliyechukuliwa Tanzania na kupelekwa Ujerumani.
Suala la mabaki ya mjusi wa Tendeguru yaliyopo Ujerumani, tuna mabaki ya mjusi yamechukuliwa Tanzania nyie mnakaa hapa kusifia tu, nimeandika barua kuwaletea makatibu wakuu walichonijibu sikielewi
‘Haiwezekani mjusi huyu mkubwa anaijengea historia Ujerumani, watalii wanaenda kuangalia wanaingiza pesa, Rais Magufuli aliahidi wakati wa kampeni kuwa atalishughulikia, haiwezekani kama taifa tunakaa tu vitu vyetu vinawanufaisha watu wengine’

No comments:

Post a Comment