HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 7 June 2016

Entertainment Mtukutu Meek Mill avunja sheria ya kifungo cha nje,kahudhuria na kuimba kwenye show ya Beyonce.



Rapa Meek Mill ameshindwa kabisa kujizuia kuishi maisha ya kistaa na baby wake ambaye ni Nicki Minaj na kuamua kwenda kwenye show ya Beyonce katika tour yake ya ‘Formation Tour’ mjini Philadelphia na alipanda jukwaani na kuimba wimbo pamoja na Dj Khaled na Rick Ross.
Meek Mill bado anatumikia kifungo cha ndani na haruhusiwi kufanya issue za muziki kwa sasa ila ndio hivyo, huyu jamaa mtukutu sana.
meek drama

No comments:

Post a Comment