HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 8 June 2016

Entertainment Picha, Diamond Platnumz anaibadilisha tena studio ya Wasafi Records.



Mmiliki wa WCB Records [Wasafi Records] Diamond Platnumz amethibitisha ujio mpya wa studio yao ya WCB Nakusema kwa sasa wapo kwenye matengeneza ya kuboresha studio hii.
I can’t wait to present to you our @WasafiRecords New Look!…. Still on the Making though😋
(Tumesimamisha huduma za Studio kidogo kwa sasa tunafanya marekebisho ili tuzidi kuwapatia kazi bora na hata muonekano mzuri wa selfie tukiwa kibaruani…. inshaallah siku si nyingi tutakuwa tumemaliza….@WasafiRecords House Of Hits!) @red_interiors
wasafii 1 wasafii 2

No comments:

Post a Comment