HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday 8 June 2016

Entertainment Picha,Muonekano mpya wa rapa Chidi Benz baada ya wiki zaidi ya 20 sober house.



Hizi ni post mbili kutoka instagram za kituo cha Clouds Media kuhusu muonekano mpya wa mwanii wa hiphop Tanzania Chid Benz.
Picha za post hizi ziliambatana na Ujumbe wenye maneno haya ” Muonekano mpya wa Chidi Benz Chuma…@CloudsTv pekee inakuonyesha safari za mwana harakati @Kalapina kwenye hatua za kusaidia vijana kuachana na janga la dawa za kulevya kwenye show ya #Harakati. #HarakatiNiVitendo
Chidi Benz ni msanii aliyepata msaada mkubwa kutoka kwa meneja wa Diamond Platnumz mpaka kupelekea rapa huyu kukubali kwenda kupata matibabu baada ya kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya wa muda mrefu jambo ambalo lilimrudisha nyuma kimuziki na maendeleo pia.
Chid Benz 2 Chid Benz

No comments:

Post a Comment