HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 27 June 2016

Entertainment Trending,Haya maneno makali ya Diamond Platnumz kuhusu ujio wa wimbo wake mpya.



Kwenye mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na kukubali kuanguka ni kawaida, ila kuamka  baada ya kuanduka ndio kazi yenyewe ambayo kwa sasa Diamond anafanya kwa  kutoa kazi ambayo yeye anaimani ni bora zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black Coffee wa Afrika Kusini.
Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya.

Hivi karibuni radio na tv zimekuwa zikitegemea rekodi mpya ya Diamond Platnumz na P Square na leo 26 June 2016 tumeambiwa zimebaki siku NNE kuisikia rekodi hii.
diamond p
 diamond p.JPG 13

No comments:

Post a Comment