HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 27 June 2016

Entertainment Video nyingine kali ya Dreezy Ft T-Pain ‘Close to You’ imetoka,itazame hapa



Baada ya kutoa rekodi yake ya ‘Body’ akiwa na Jeremih sasa Dreezy amekutana na T-Pain na kutoa wimbo wao mpya “Close to You.”
July 15 Dreezy anatoa album yake ya No Hard Feelings wakiwemo wasanii kama Gucci Mane (“We Gon Ride”), Wale (“Afford My Love”), na T-Pain.

No comments:

Post a Comment