HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 6 June 2016

Harmonize,wakati natoka niliahidi nikipata mwanamke mwenye vigezo nitamtangaza.


Wcb staa Harmonize alikuwa kwenye #FridayNiteLive na @sammisago hivi karibuni na kuongelea issue ya kukikisha sana mahusiano yake na Jackline Wolper na kusema ni mwanamke aliye mpenda sana.
Harmonize anasema “Mwanamke mzuri kama Jackline sio wa kuficha na kukificha ni kama unahofia mtu mwingine asijue, Jack ananiweka powa,ananipunguzia mawazo ili nifanye nyimbo nzuri, niliahidi kwenye interview zangu wakati natoka kuwa nikipata mwanamke mwenye vigezo na nikaingia kwenye relationship lazima nitaweka wazi“.
Harmonize amekuwa kwenye stori nyingi za burudani kutokana na mahusiano yake na Jackline Wolper.

No comments:

Post a Comment