HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday 6 June 2016

Tofauti kati ya International manager na Tour manager,anaelezea hapa Sallam AKA “Jorgé Mendez”.


Entertainment

Meneja wa bongo fleva staa Diamond Platnumz alikuwa kwenye #FridayNiteLive na @sammisago na kufunguka kuwa yeye sio Tour Manager wa Diamond Platnumz ila ni International Manager wake.
Sallam alitoa tofauti na kusema “International manager anahusika haswa na mambo ya kimataifa ya msanii na tour meneja anaweza kuwa mtu yoyote waliomchagua mwenye ufahamu na mambo ya ziara na kazi zake,nje au ndani ya Tanzania“.
Sallam pia kwa sasa ni meneja wa Ay, Mwana Fa na Salama Jabir.

No comments:

Post a Comment